Reload
{"id":292674,"created_at":"2023-05-15 12:15:12","updated_at":"2024-05-17 16:36:04","deleted_at":null,"published_at":"2023-05-15 12:15:12","original_id":null,"artist_id":129080,"title":"Baruwa kwa mama","slug":"baruwa-kwa-mama","status":"published","description":null,"album_id":null,"streets":1,"source_type":"s3","source":"file","lyrics":"chorus 1\r\n\r\nmama mama natuma barua uisome\r\nmtoto wako natuma barua uisome\r\nmama uniombea hala aniurumie\r\nmama natuma barua uisome\r\n\r\nverse 1\r\n\r\nmama natuma barua uisome\r\nmiaka mingi natafuta maisha\r\nsafari niliyo fanya ingali inaendeleya\r\nkila siku mtoto wako na pambana\r\nmaali nilipo misukosuko ya maisha\r\nuku wengine wanaendelea vizuri\r\nbahati ya wanadamu tofauti\r\nuku niliko nina pamba yausingizi\r\nsina fasi kanuni ninayo ishi\r\nnimekuwa kama ndege waangani\r\nmitiyani kibao ya maisha kwenda mbele\r\nnaomba duwa zako nifanyikishe\r\nnajuwa unasimangwa na majirani\r\nnimepata habari nimekosa amani\r\nnimesikiya habari za manunguniko\r\nroho yangu imebaki na masikitiko\r\n\r\nchorus\r\n\r\nmama mama natuma barua uisome\r\nmtoto wako natuma barua uisome\r\nmama uniombe hala anihurumie\r\nmama mama natuma barua uisome\r\n\r\nverse 2\r\n\r\nmtoto wako naendelea kupambana\r\nukuniliko najuwa nasabiliwa miaka\r\nujuwe tuwatu wengi tunatafuta\r\nbahati ya kila umoja wetu tofauti\r\nmapato yanazidiyana ulimwenguni\r\nhakuna anae chelewa maishani\r\nsitaki niibe ili nichukize watu\r\nstaki nizulumu wanao kuwa na utu\r\nbaraka za mungu zinakuja polepole\r\nnajuwa unaniombea nifanikishe\r\nakuna anae sahau mama yake\r\nnasubiri baraka inayo kawiya\r\nkila kitu kinaomba muda na subira\r\numeniweka tumboni mwezi 9\r\nduwa zangu siku moja ufurai\r\nnajuwa siku moja mama utafurai\r\n\r\nchorus\r\n\r\nmama mama natuma barua uisome\r\nmtoto wako natuma barua uisome\r\nmama uniombe hala aniurumie\r\nmama mama natuma barua uisome\r\nusome","download_count":128,"play_count":35,"restrict_download":0,"generated_thumbnail":null,"flag_count":0,"download_count_24":2,"download_count_24_at":"2024-05-17","reupload_sent":0,"thumb_path":"https:\/\/s3.eu-central-1.amazonaws.com\/sol-assets\/uploads\/public\/646\/1ff\/ae7\/thumb_948226_300_300_0_0_crop.jpg","status_reason":"published","status_reason_alt":null,"tags":[]}
Baruwa kwa mama

TIGO STONE

Baruwa kwa mama

Loading your song...
Downloads: 128

Song Lyrics:

chorus 1 mama mama natuma barua uisome mtoto wako natuma barua uisome mama uniombea hala aniurumie mama natuma barua uisome verse 1 mama natuma barua uisome miaka mingi natafuta maisha safari niliyo fanya ingali inaendeleya kila siku mtoto wako na pambana maali nilipo misukosuko ya maisha uku wengine wanaendelea vizuri bahati ya wanadamu tofauti uku niliko nina pamba yausingizi sina fasi kanuni ninayo ishi nimekuwa kama ndege waangani mitiyani kibao ya maisha kwenda mbele naomba duwa zako nifanyikishe najuwa unasimangwa na majirani nimepata habari nimekosa amani nimesikiya habari za manunguniko roho yangu imebaki na masikitiko chorus mama mama natuma barua uisome mtoto wako natuma barua uisome mama uniombe hala anihurumie mama mama natuma barua uisome verse 2 mtoto wako naendelea kupambana ukuniliko najuwa nasabiliwa miaka ujuwe tuwatu wengi tunatafuta bahati ya kila umoja wetu tofauti mapato yanazidiyana ulimwenguni hakuna anae chelewa maishani sitaki niibe ili nichukize watu staki nizulumu wanao kuwa na utu baraka za mungu zinakuja polepole najuwa unaniombea nifanikishe akuna anae sahau mama yake nasubiri baraka inayo kawiya kila kitu kinaomba muda na subira umeniweka tumboni mwezi 9 duwa zangu siku moja ufurai najuwa siku moja mama utafurai chorus mama mama natuma barua uisome mtoto wako natuma barua uisome mama uniombe hala aniurumie mama mama natuma barua uisome usome

Subscribe to get the hottest exclusive music and content straight to your inbox!

Register for Slikour On Life
Sign in for Slikour On Life